SectionsOffertoryEe Baba Pokea Sadaka

Ee Baba Pokea Sadaka

Ordinary TimeOffertory
Chorus

{ Ee Baba pokea sadaka yetu tunayokutolea

Hiyo ni kazi ya mikono yetu wanadamu } *2n{Twakuomba uipokee, ee Bwana uibariki

Bwana sadaka hii tunayokutolea } *2

Verse 2

Mkate pia divai tunakutolea

Upokee utakase na ubariki

Verse 3

Na mazao ya mashamba Baba upokee

Ni zawadi ya mavuno kwa mikono yetu

Verse 4

Nyoyo zetu tunakupa zote mali yako

Na fedha zetu tunaleta, Baba zipokee