Dunia Yasisimka
Ordinary TimeBible Procession
Verse 1
Dunia yasisimka kwa Injili /ya neno la Bwana,
Nasi furaha tumejaa, aleluya/ale-aleluya.
Chorus
Neno lako ewe Bwana , litangazwe siku zote *2
Verse 3
Roho wa Bwana yu juu/yako wewe / amekuteua,ntuondolee upofu wetu wote tupate kuona.
Verse 4
unatuletea sisi maskini/neno lako jema ,
Na sisi tuliofungwa , usalama / tupate uhuru.
Verse 5
unautangaza mwaka wa huruma/ na wa rehema kuu
Tuliovunjika na kukata moyo / we' unatutibu
Verse 6
Ndiwe nuru kwetu sisi wanadamu / ya kutuangaza,