Chorus
Asipojenga nyumba wale waijengaonwanafanya kazi bure na wanapoteza muda
Na wanaoulinda mji wanapoteza usingizinmaana wanakesha bure wao si lolote si kitu
Hakuna jema nje ya Mungu, hakuna mali pasipo yeye
Hakuna ushindi bila Mungu wala kufanikiwa asipokuwaponn{(Yeye) Ni nguzo ya yote, nguzo ya kila kitu
Ni uwezo wote na sababu ya mema yoten(Yeye) ni dira (aoh) daima tumtangulize * 2 } *2
Verse 2
Ewe tajiri mali uliyo nayo isalimishenmikononi mwake Mungu
Verse 3
Nawe msomi vyeti ulivyo navyo ni vumbi tupinkama hujampa Mungu
Verse 4
Ewe mzima, nguvu na afya na uhai ni bure
Kama havilindi Mungu
Verse 5
Kuumwa kwako na shida zako zitakuangamiza,nkama hujampa Mungu
Verse 6
Ni nguzo yetu na dira yetu
Ni ngao yetu milele