Chorus
Dhirisha fadhili fadhili zako za ajabunwewe uwaokoaye wanaokukimbilia
Wasinione wasio haki, wananionea
Adui za roho yangu wanaonizungukan{ Bali mimi bali mimi niutazame usonwako katika haki
Niamkapo nishibishwe kwa sura yako } *2
Verse 2
Wamenishtaki kwa makosa yao wenyewe,
Wakanihukumu kwa madhambi waliyotenda
Wamekunywa damu yangu waonekane wemanmbele ya watu
Verse 3
Ushike kigao ushike ngao usimame
Bwana utete nami