Dhambi Ilikuja
Ordinary TimeBible Procession
Verse 1
Mwokozi wetu Yesu twakuomba, sisi tu wanyonge
Roho zetu twazitoa kwako, twakuomba utusaidie
Twakuomba utuponyeshe.
Chorus
Dhambi ilikuja , dhambi ilikuja
Dhambi ilikuja ulimwenguni ikatuletea magonjwa
Dhambi imeondoa-usalama
Dhambi imetuondolea nguvu
Katuletea kifo na shida
Dhambi imetutenga na Mungu
Verse 3
Na mfano tutawapa, nyoka usipompasua kichwa
Analetewa majani na mwenzakenanapata joto na kwenda
Verse 4
Twaenda kwa waganga twatoa kweli pesa nyingi sana
Tunatibiwa na kuchanjachanjwa
Twasahau mganga ni Yesu