SectionsExitChombo Cha Amani Yako

Chombo Cha Amani Yako

Ordinary TimeExit
Verse 1

Bwana, ningependa mimi niwe, Chombo cha amani yako

Bwana, nitumie mimi niwe, Chombo cha amani yako

Chorus

Nitumie Bwana, kama chombo (chombo)

Bwana, neno lako nihubiri

Nilete suluhisho, pasipo Amani,

Nilete furaha, pasipo na furaha

Verse 3

Nchi, imekumbwa sana sana, mambo yasiyopendeza

Sasa ukabila hatutaki, leta oh amani yakon

Bwana, sisi sote ni watoto, wake Mungu baba yetu

Bwana, situache tupotee, bali, tuenende nawen

Neno lako Bwana ni amani, leta oh amani kwetu

Tena neno lakoni upendo, leta oh upendo kwetu