Chorus
{ Chereko chereko chereko chereko( chereko)
Chereko chereko Bwana amefufuka } *2
Verse 2
Ni siku ya tatu malaika wa Bwana
Akamwaambia Maria, Bwana amefufuka
Verse 3
Petro Yohane waenda kaburini
Wakakuta kaburi, kaburi liko wazi
Verse 4
Malaika kasema, nendeni Galilaya
Huko ndiko aliko, amewatangulian
Verse 5
Ni siku ya furaha, ni siku ya amani
Chereko chereko Bwana amefufuka
Verse 6
Nyimbo nzuri tuimbe, tukimsifu Mwokozi
Vigelegele na ngoma tuimbe aleluya