Chorus
Chakula cha uwingu ni tayari
Karamu ya upendo na amani
Sogea (we) jongea (we) upokee *2
Utaonja utamu wa mbinguni *2
Verse 2
Chakula cha mbingu ni mwili wa Yesu na damu yake
Verse 3
Sogea uone mapenzi ya Bwana yaliyo bora
Verse 4
Atakugawia uzima wa mbingu ulio bora
Verse 5
Atakushibisha atakubariki na kukunywesha