Chorus
Chakula cha Bwana tayari -
Chakula cha Bwana tayari (sasa)
Chakula cha Bwana tayari twende tukale
Ni mwili wa Bwana (Yesu)
Na damuye twende tukale
Twende kwa furaha twende tukale
Verse 2
Ni chakula - kutoka Mbinguni
Kimeandaliwa twende tukale
Verse 3
Ni chakula - cha kutushibisha
Kimeandaliwa twende tukale
Verse 4
Ni chakula - cha kutufariji
Kimeandaliwa twende tukalen
Verse 5
Ni chakula - cha kutupa nguvu
Kimeandaliwa twende tukale