SectionsEucharistChakula Cha Bwana Sasa Kiko Tayari

Chakula Cha Bwana Sasa Kiko Tayari

Ordinary Time,Baptism,Ordinary Time,MarianEucharist
Verse 1

Chakula cha Bwana, sasa kiko tayari ndugu

Karibuni karibuni twende kumpokea

Nacho kimeshuka kimetoka Mbinguni ndugu

Karibuni karibuni twende kumpokea

Chorus

Bwana Yesu anatuita twende

Tukale mwili wake

Tukanywe damu yake

Sote twende tukampokee

Verse 3

Tumekaribishwa kumpokea Mwana kondoo

Karibuni karibuni twende kumpokea

Anayeondoa dhambi zote za ulimwengu

Karibuni karibuni twende kumpokea

Verse 4

Bwana ndiye njia, ya Mbinguni tukampokee

Karibuni karibuni twende kumpokea

Atuita kwake kula mwili na damu yake

Karibuni karibuni twende kumpokea