SectionsEucharistCha Kutumaini Sina

Cha Kutumaini Sina

Ordinary TimeEucharist
Verse 1

Cha kutumaini sina, ila damu yake Bwana

Sina wema wa kutosha, dhambi zangu kuziosha

Chorus

Kwake Yesu nasimama, ndiye Mwamba ni salama

Ndiye Mwamba ni salama, ndiye Mwamba ni salama n

Verse 3

Damu yake na sadaka, nategemea daima

Yote chini yakiisha, Mwokozi atanitosha

Verse 4

Njia yangu iwe ndefu, Yeye hunipa wokovu

Mawimbi yakinipiga, nguvu zake ndiyo nanga

Verse 5

Nikiitwa hukumuni, rohoni nina amani

Nikivikwa haki yake, sina hofu mbele yake