Chorus
Bwana Yesu waniita niwe wako, niwenwako Bwana Yesu siku zote. Niwe wako,
Bwana Yesu (Bwana) (siku zote) niwenwako Bwana Yesu siku zote x2
Verse 2
Ndio Bwana, naitika wito wako.
Niwe wako Bwana Yesu siku zote.
Verse 3
Ni furaha, kusikia waniita,nniwe wako Bwana Yesu siku zote.
Verse 4
Nimekuja, kusikia waniita,nniwe wako Bwana Yesu siku zote
Verse 5
Nena Bwana, mtumishi asikia,nniwe wako Bwana Yesu siku zote.
Verse 6
Niwe wako, leo kesho na daima,nniwe wako Bwana Yesu siku zote.