Bwana Upokee
Presentation of Gifts
Chorus
Bwana, upokee, Bwana upokee zawadintwaleta *2
Verse 2
Mkate na divai - zawadi twaleta
Mazao ya mashamba -
Na pia nafsi zetu -
Vyote tulivyonavyo -
Furaha na uchungu -
Verse 3
Na kiini cha ngano -
Na tunda la mzabibu -
Fedha za mifukoni -
Nafaka upokee -
Twakutolea vyote -
Verse 4
Kwako Baba Muumba -
Kwa njia ya Mwokozi -
Katika Mfariji -
Ipate kugeuzwa -
Iweze kutufaa -
Verse 5
Pokea twakuomba -
Ingawa ni kidogo -
Twakutolea kwa moyo -
Baba, usikatae -
Vipaji vya wanao -