SectionsEucharistBwana, Unihifadhi Mimi

Bwana, Unihifadhi Mimi

Lent,Lent,LentEucharist
Chorus

Bwana, unihifadhi mimi,

Nakulilia wewe mchana kutwa.

Verse 2

Unisikilize, maana mimi ni fukara,nee Bwana.

Verse 3

Wewe ni Mungu wangu,nunionee huruma, ee Bwana.

Verse 4

Mimi ninakulilia, mchana kutwa,nee Bwana

Verse 5

Wewe u mwema, na mwenye huruma,nee Bwana

Verse 6

Umejaa upendo, kwa wotenwanaokuomba, ee Bwana

Verse 7

Usikie sala yangu, uangalie kilionchangu, ee Bwana

Verse 8

Siku za tabu, nakuita, ee Bwana

Verse 9

Hakuna Mungu, aliyekama wewe,nee Bwana

Verse 10

Hakuna awezaye kufanya,nunavyofanya wewe, ee Bwana