SectionsSign of PeaceBwana Unifanye Chombo

Bwana Unifanye Chombo

Sign of Peace
Chorus

(Bwana) *2 unifanye niwe chombo kwelincha amani yako *2

Verse 2

Palipo na chuki nilete amani,

Palipo ugomvi nilete msamaha wako

Verse 3

Palipo na shida nilete tumaini,

Palipo na giza nilete mwangaza wako

Verse 4

Palipo uchungu nilete furaha, Bwanannijalie niwe chombo cha kujaa