SectionsEucharistBwana Roho Zetu

Bwana Roho Zetu

Ordinary Time,MarianEucharist
Verse 1

Bwana roho zetu zatamani -nhayo maji yenye uzima

Bwana roho zetu zina kiuntupe maji hayo ya uzima

Ee Bwana tuna kiu tunyweshe

Tuna kiu ee Bwana tupe maji hayo yanuzima x2

Verse 2

Wewe ndiwe taa ya maisha wewenndiwe mweza wetu

Wewe ndiwe mwanga wetu sotenutatuongoza daima

Ee Bwana tunakuja daima tuko nawe

Ee Bwana utatuongoza daima x2

Verse 3

Wewe ndiwe nguvu yetu sote wewenndiwe mweza vyote

Tupigwapo kumbo na shetani wewenndiwe tulizo letu

Ee Bwana tuongoze daima maishani

Ee Bwana tupe nuru yako njiani x2n