Verse 1
Bwana nipe uwezo kama Petro Simoni
Nipitie juu ya maji, Bwana nipe imani.
Chorus
Ewa mwenzangu u majini tembea
Ewe tembea ee mwanangu tembea
Kweli ninatembea lakini bado nazama
Ni kwa sababu imani yangu ni haba. *2
Verse 3
Tukimshinda shetani, tumeyashinda mawimbi
Tukilemewa na dhambi, tumezama majini.
Verse 4
Dunia ni bahari dhambi nazo mawimbi
Chung asana mawimbi, usizama majini.