Verse 1
Bwana ni nuru yangu na wokovu wangu
Nimwogope nani na nimhofu nani
Bwana ni ngome yangu na uzima
Nimwogope nani na nimhofu nani
Chorus
Nimeamua (mimi ) maisha yangu (yote )
Nitakaa nyumba
I mwake mungu. *2
Verse 3
Nikitazama uzuri wake Bwana
Moyoni ninapata nguvu kumfuata.
Ninapotafakari hekaluni mwake
Verse 4
Jeshi la mwovu likipigana nami
Sitaogopa kwani Mungu yuko nami.
Hata watesi na adui wakijan
Verse 5
Napiga moyo kode nikimngoja Bwana
Ufalme wake ndio tumaini langu.
Na wema wake kweli mimi nitapatan