SectionsExitBwana Ni Ngome

Bwana Ni Ngome

Ordinary Time,BaptismExit
Chorus

{ Bwana ni ngome yangu na nguvu yangu

Bwana ni nuru yangu nimwogope nani? } *2

Verse 2

Watesi wangu na pia adui zangu

Waliponikaribia wakaanguka

Verse 3

Hata kama nikizungukwa na majeshi

Sitaogopa vita sitakufa moyo

Verse 4

Jambo moja ningemwomba Mwenyezi Mungu

Nikae nyumbani mwake siku zote

Verse 5

Niuone uzuri wa Mwenyezi Mungu

Nikatafakari hekaluni mwako

Verse 6

Nami nitawashinda maadui zangu

Nitamshangilia hekaluni mwake