Bwana Ni Nani
Ordinary TimeSign of Peace
Chorus
[t] Bwana ni nani atakayekaa katika hema yakon[w]Bwana ni nani atakayekaa katika hema yako
Nani atakayefanya maskani yake katika kilima chako
Yeye aendaye kwa ukamilifu pia na kutenda haki
Verse 2
[s/a] Maskani zako zapendeza kama nini
Ee Bwana wa majeshi *2 (A/T/B): A...min *2)
Verse 3
[t/b] Heri wakaao nyumbani mwako
Daima wanakuhimidi *2
Verse 4
[s/a] Hakika siku moja, siku moja katika nyua zako *2
Verse 5
[t/b] Ni bora kuliko siku elfu, bora kuliko elfu *2