Bwana Ni Mchunganji Wangu
Ordinary TimePrayers of the Faithful
Verse 1
Bwana ni mchungaji wangu,nsitapungukiwa kitu,nhulaza kwenye majani mabichinhunongoza kwa maji matulivunhunihuisha nafsi yangu,nhuniongoza kwa njia za haki,nnipitapo bondeni mwa mauti,nsitaogopa wewe u nami
Chorus
Hakika wema nazo fadhili, zita nifuatanmimi, nitakaa Nyumbani mwa Bwana,nsiku zote za maisaha yangu
Verse 3
Gongo lako na Fimbo yako,nvinanifariji mimi,nhuandaa meza mbele yangu,nmachoni pa watesi wangu