Chorus
Bwana ndiye mchungaji wangu, Sitapungukiwa (mimi)
Katika majani mabichi Bwana hunilazan(Kando ya maji yenye utulivu huniongoza x2)
Verse 2
Huihuisha nafsi yangu na kuniongoza
Kwenye njia za haki, kwa jina lake x2
Verse 3
Umeandaa meza mbele yangu ee Bwana
Umeandaa machoni pa watesi wangu x2
Verse 4
Umenipaka mafuta kichwani pangu Bwana
Kikombe changu kimejaa kinafurika x2
Verse 5
Wema wako fadhili zako zitanifuata,
Nami nitakaa nyumbani mwa Bwana millele x2n