SectionsExitBwana Ndiye Mchungaji Wangu

Bwana Ndiye Mchungaji Wangu

Ordinary Time,MarianExit
Verse 1

{Bwana ndiye mchungaji wangu.n

Bwana ndiye mchungachi wangu, sitapungukiwa na kitu} *2n(Katika malisho ya majani mabichi hunilaza,nkando ya maji utilivu huniongoza) *2

Verse 2

{Huandaa meza mbele yanguâ.

Huandaa kmeza mbele yangu , machoni pa watesi wangu }*2n(Umenipaka mafuta kichwani pangu,nna kikombe change kinafurika) *2

Verse 3

{Hakika wema na fadhili..

Hakika wema na fadhili zitanifuata siku zote} *2n( Zitanifuata siku zote za maisha yangu,nnami nitakaa nyumbani mwa Bwana milele) *2

Verse 4

{Katika njia za haki..

Katika njia za haki sitaogopa mabaya} *2n(Kwa maana wewe upo pamoja nami,ngongo lako na fimbo yako vyanifariji )*2n