Verse 1
Bwana nakushukuru asante *2
Pendo lako kwangu kubwa sana *2
Chorus
Umenilisha mwili wako na damu yakon(Bwana) ili ni nipate uzima wa milelen(Ewe) Bwana nakushukuru asante
Nitakulipa nini mimi kwa mema yote ambayo wanijalia
Bwana nakushukuru asante
Verse 3
Bwana nakushukuru asante *2
Kwani umenilisha mwilio *2
Verse 4
Bwana nakushukuru asante *2
Kwani umeninywesha na damuyo *2