Bwana Nakushukuru Asante
Ordinary TimeThanksgiving
Verse 1
Bwana nakushukuru asante x2
Pendo lako kwangu kubwa sana x2n
Chorus
Umenilisha mwili wako na damu yako,nili nipate uzima wa milele (ewe) Bwanannakushukuru asante. Nitakulipa nini mimi
Mwokozi wangu kwa mema yote ambayonwanijalia (ewe) Bwana nakushukuru asante.
Verse 3
Bwana nakushukuru asante x2
Kwani umenilisha mwilio x2n
Verse 4
Bwana nakushukuru asante x2
Kwani umeninywesha damuyo x2