Chorus
{Bwana Mungu upokee vipaji vyetu
Kazi ya mikono yetu wanadamu }* 2
Verse 2
Mkate twakutolea baba,
Divai tunaleta upokee
Verse 3
Pokea sadaka ya Mwanao,
Uliyopenda kutulizwa nayo
Verse 4
Ni sadaka ya Mwanao mpenzi,nsadaka ya Mwanao Yesu Kristun
Verse 5
Pia na mazao yetu Baba,
Kazi ya mikono yetu pokea