Verse 1
Bwana Mungu aliona Mwanakondoo apotea
Kwa upendo akamtoa Mwana wake wa pekee
Chorus
Alelu - aleluya kazaliwa
Yesu mwa - Yesu Mwana wa Pekee
Bethlehe - Bethlehemu amelazwa
Mama - Mamayo Maryamun
Verse 3
Lile neno lilikuwa maandishi yanenavyo
Na kwa yeye vitu vyote vikapata kuwepo
Verse 4
Siku Yesu alizaliwa watu wote walishangilia
Wakasema huyu mfalme Mwokozi wa dunia