Chorus
Bwana moyo wangu hauna kiburi nayonmacho yangu hayainuki x2
Wala siji shugulishi na mambo makuunyanayozishinda nguvu zangu x2
Verse 2
Hakika nimetiliza nafsi yangunna pia kuinyamazisha..
Verse 3
Kama mtoto aliyeachishwanziwa kifuani mwa mama yake.
Verse 4
Bwana raha yangu iliyo kwangunmimi tangu leo na hata milele.