SectionsExitBwana Mfalme

Bwana Mfalme

MarianExit
Chorus

{Bwana Mfalme ameketi milele (Bwana)

Atawabariki watu wote kwa amani } * 2

Verse 2

Atawala Duniani na Mbinguni

Toka mto hata kingo za dunian

Verse 3

Na wafalme wote watamwabudia

Mataifa yote yatamtumikia

Verse 4

Utawala, utawala wa milele

Ni ufalme wenye kudumu milele