SectionsThanksgivingBwana Kote Ninakotazama

Bwana Kote Ninakotazama

Ordinary TimeThanksgiving
Verse 1

Ah-ah, ah-ah-ah! - ah-ah, ah-ah-ah! *2

Bwana kote ninakotazama, nauona uwezo wako *2n{ Bwana kote ninakotazama,

Nauona uwezo wako na mkono wako ewe Mungu wa majeshi,

Ninakotazama nauona uwezo wako! } *2

Verse 2

Bwana kote ninakotazama, Bwana { ninakotazama } *3

Ah-ah, ah-ah-ah!

Bwana kote ninakotazama,

Nauona uwezo wako na mkono wako ewe Mungu wa majeshi,

Nikitazama nauona uwezo wako ewe Mungu wa majeshi,

Aaah aaah aaah . . .

Verse 3

Nikitazama mabonde na miliman(Ah-ah, uh-uh-uh, naona uwezo wako)

Nikitazama mito na baharin(Ah-ah, uh-uh-uh, naona uwezo wako)

Nikitazama samaki na ndege wa angani

Ah-ah, uh-uh-uh, naona uwezo wako -oh

Ah-ah, uh-uh-uh, naona uwezo wako -oh

Verse 4

Vi-umbe vya dunia, vyatangaza utukufu wako

Sayari, jua nyota na mwezi, vyatangaza utukufu wako

Na vyo-te ulivyoumba, vyatangaza utukufu wako

Nasi sote kwa nyimbo pia vigelele, tuutangaze utukufu wako

Verse 5

Bwana kote ninakotazama, (Ninakotazama) *3

Nauona uwezo wako na mkono wako ee Mungu wa Majeshi,

Verse 6

(Bwana) *6 ninakotazama nauona uwezo wako na mkono wako

Oh oh oh *5

Kote ninakotazama *3

Nauona, u-we-zo wa-ko!