Chorus
Bwana kama wewe ungehesabu maovunyetu, nani angesimama *3 mbele yako
Verse 2
Lakini kwako kuna msamaha,
Ili wewe uogopwe, nimemungoja Bwana
Roho yangu, na neno lake nimelitumaini
Verse 3
Nafsi yangu inamngoja Bwana
Kuliko walinzi walinzi waingojavyonasubuhi Naam walinzi wangojavyo asubuhi
Verse 4
Ee Bwana toka vilindini nimekulilia
Bwana sauti yangu usikie
Masikio yako yasikie dua zangu