SectionsBible ProcessionBwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu

Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu

LentBible Procession
Chorus

Bwana kama wewe ungehesabu maovu yetu,

Nani angesimama, nani angesimama

Nani angesimama mbele yako

Verse 2

Lakini kwako kuna msamaha, ili wewe uogopwe,

Nimemungoja Bwana, Roho yangu

Na neno lake nimelitumaini

Verse 3

Nafsi yangu inamngoja Bwana, kuliko walinzi

Walinzi waingojavyo asubuhi

Naam walinzi wangojavyo asubuhi

Verse 4

Ee Bwana toka vilindini, nimekulilila

Bwana sauti yangu usikie

Masikio yako yasikie dua zangu