SectionsExitBwana Awabariki

Bwana Awabariki

Ordinary TimeExit
Chorus

Bwana awabariki, Bwana awabariki

Bwana awabariki milele

Verse 2

Ukimcha Mungu - Bwana awabariki

Na kutembea -

Pamoja naye -

Heri ni yako -n

Verse 3

Na mke wako -

Atastawi -

Kama mzabibu -

Wenye matunda -

Verse 4

Watoto wako -

Watafanana -

Na machipuko -

Ya mzeituni -n

Verse 5

Ubarikiwe -

Kutoka Saioni -

Maishani mwetu -

Amani kwako -