Chorus
Bwana atuita - Bwana Yesu atuita
Tujongee mbele yake tukampokee
Verse 2
Mwili wako ee Bwana damu yako ee
Bwana yatushibisha roho zetu
Verse 3
Karamu yako ni chakula cha kweli,
Karamu yako ni kinywaji cha kweli
Verse 4
Karamu yako ni kumbukumbu ya mateso
Karamu yako ni karamu ya sadaka
Verse 5
Karamu yako ni mwanakondoo wa kwelinwa sadaka
Karamu yako ni maana kweli katika safari yetu
Verse 6
Karamu yako ni imani ya ufufuko wako
Karamu yako ni mfano wa karamu ya mbinguni
Verse 7
Karamu yako ni dawa ya udhaifu wetu
Karamu yako ni malisho ya mchungaji