SectionsExitBwana Atakufunika

Bwana Atakufunika

Marian,Ordinary TimeExit
Chorus

Bwana Atakufunika kwa manyoya yake

Bwana Atakufunika kwa manyoya yaken{ Chini, chini chini chini,

Chini -chini ya mbawa zake *2

Utapata kimbilio kiimbilio } *2

Verse 2

Mabaya hayatakupata wewe,

Wala tauni haitakaribia hema yakon

Verse 3

Atakufunika kwa manyoya yake,

Chini ya mbawa zake, chini utapata kimbilio, kimbilio

Verse 4

Atakuagizia malaika,

Uwepo safarini, kweli, wakulinde katika njia zako zote