Verse 1
Bwana asema, nimtume nani?n(Nani nani atakayekwendanbadala yangu) x2
Chorus
Nitume mimi Bwana
Nitume mimi Bwana x2
Nitume mimi Bwana
Nitume mimi Bwana
Verse 3
Midomo yangu ni chafu sanan(uichome kwa kaa la moto uitakase) x2
Verse 4
Ninaogopa umri mdogon(kuhubiri neno lake Bwana huko niendako) x2
Verse 5
Aliniambia nisiogopen(nitapata ujasiri mwingi kutoka kwake) x2n