SectionsExitBwana Anakuja Kwetu

Bwana Anakuja Kwetu

AdventExit
Chorus

Bwana anakuja, anakuja kwetu anakuja *2

Tengenezeni njia yake yanyosheni mapito yake

Anakuja kutukomboa *2

Verse 2

Waambieni wanaokufa moyo, anakuja msiogope

Bali jipeni moyo anakuja

Verse 3

Furahini wote katika Bwana, anakuja

Anakuja naye hatakawia, anakuja

Verse 4

Afikapo Bwana na malaika, anakuja

Kiti cha enzi atakikalia, anakuja

Verse 5

Mataifa yote yatakusanywa, anakuja

Mbele yake Bwana hakimu wao, anakuja