Bwana Ametamalaki
Ordinary Time,MarianBible Procession
Chorus
{ Bwana ametamalaki nao mataifa watetemeka (naye)
Ameketi juu ya makerubi, nayo nchi inatikisika } *2
Verse 2
Bwana katika sayuni ni mkuu,
Naye ametukuka juu ya mataifa yote
Verse 3
Wote walishukuru jina lake kuu
Kwa maana jina lake Bwana ni la kuogofya
Verse 4
Mtukuzeni Bwana kwani ni mkuu
Msujuduni mahali penye kiti cha miguu yake
Verse 5
Moto watangulia mbele zake,
Na kuwateketeza adui zake pande zote