Bwana Amenituma

Ordinary TimeBible Procession
Chorus

(Bwana) Amenituma (mimi)namenituma kuwahubiri mataifa habari njeman(Bwana) Amenituma (mimi)namenituma kuwahubiri mataifa habari njema

Verse 2

Amenituma kuwatangazia wafungwa,nwafungwa kufunguliwa kwao *2

Verse 3

Na vipofu kupata kuona tenankuwaacha huru waliotekwa * 2

Verse 4

Na kutangaza kutangaza mwaka wa Bwana, wna Bwana uliokubaliwa