Chorus
|s| Bwana amenitendea mambo ya ajabunmambo makuu sana
Amenitendea ya ajabu makuun|a| Bwana amenitendea mambo ya ajabu makuu sanan[t] Bwana ametenda haya . . .n|w| Ametenda kwa mkono wake wenye nguvun[b] Bwana ametenda,n[w] Amenitendea haya kwa huruma yake.
Verse 2
Ameniepusha na magonjwa mengi -nkwa nini nisimshukuru Mungu wangu
Ameniepusha na ajali nyingi -n
Verse 3
Amewashinda maadui zangu wote -
Amenipa ulinzi wa malaika zake -
Verse 4
Amenipa uhai bila ya gharama -
Amenipa neema na baraka tele -