Bwana Amejaa
Ordinary TimeThanksgiving
Chorus
Bwana amejaa huruma (amejaa),
Bwana amejaa huruma na neema
Verse 2
Ee nafsi yangu umhimidi Bwana,
Na vyote vilivyomo ndani yangunvilihimidi jina lake takatifun
Akusamehe maovu yako, akuponyenmagonjwa yako yote, akutie taji yanfadhili na reheman
Bwana ndiye afanyaye mambo ya haki,nna hukumu kwa wote wanaoonewa, anlimjulisha Musa njia zake
Bwana amejaa huruma na neema, haoninhasira upesi, ni mwingi wa fadhili nanrehema