SectionsEntranceBwana Amefufuka Kweli Kweli

Bwana Amefufuka Kweli Kweli

EasterEntrance
Chorus

Bwana amefufuka kweli kweli aleluya *2

Utukufu na ukuu una yeye hata milele na milele *2

Verse 2

Nimefufuka na bado ningali pamoja nawe

Verse 3

Umeniwekea mkono wako

Verse 4

Maarifa hayo ni ya ajabu aleluya

Verse 5

Aleluya, aleluya, aleluya, aleluyan