Bwana Aliwaambua Mitume
Ordinary Time,MarianBible Procession
Chorus
{Bwana aliwaambia mitume nendeni kote
Nendeni kote
Kuwahubiria mataifa yote neno
Neno la Mungu } *2n{
Heri wenye kusikia neno lake
Wana heri ya kumwona Mungu wetu
Neno lake Bwana ni la uzima } *2
Verse 2
Tangazeni Neno lake Mungu wetu
Mataifa yamwamini yaokoke
Verse 3
Heri wenye kusikia na kutii
Wana haki ya kumwona Mungu wetu