SectionsThanksgivingBwana Alitutendea Mambo Makuu

Bwana Alitutendea Mambo Makuu

Ordinary TimeThanksgiving
Chorus

Bwana alitutendea mambo makuu

Bwana alitutendea mambo makuuntulikuwa tukifurahi tukifurahin(Tulikuwa tukifurahi) tulikuwa tukifurahi

Alitutendea mambo makuu

Bwana alitutendea mambo makuu

Tulikuwa tukifurahi tukifurahin(Tulikuwa tukifurahi) tulikuwa tukifurahi

Verse 2

Bwana alipowarejesha mateka wa sayuni

Tulikuwa kama waotao ndoto

Ndipo kinywa chetu kilipojaa kicheko

Na ulimi wetu kelele za shangwe

Verse 3

Ndipo waliposema katikati ya mataifa

Bwana amewatendea mambo makuu

Bwana alitutendea mambo makuu

Tulikuwa tukifurahi

Verse 4

Bwana uwarejeshe watu wetu waliofungwa

Kama vijito vya kusini

Wale watu wapandao kwa machozi

Watavuna kwa kelele za shangwe