SectionsEucharistBwana Alipokwisha Kula

Bwana Alipokwisha Kula

Ordinary TimeEucharist
Chorus

{ Bwana Yesu alipokwisha kula pamoja na wafuasi wake,naliwaosha miguu yao, miguu yao } *2nn{ Bwana alipokwisha kuwaosha miguu yao

Akaketi tena akawaambia (akisema)

Je mmeelewa haya niliyowatendea

Ninyi mwaniita mwalimu na bwana

Nanyi mwanena vyema (mmenena mmesema vyema)

Basi ikiwa mimi niliye bwana na mwalimu

Nimewaosha miguu yenu } *2

Verse 2

Imewapasa hivyo kuoshana miguu ninyi kwa ninyi

Kwa kuwa nimewapa mfano kamili mmeuona

Kama mimi nilipowatendea nanyi mtende hivyo