{ Bwana alipokwisha kubatizwa, mbingu zikamfunukia,
Roho akashuka, kwa mfano wa hua na kukaa juu yake } *2
{ Na tazama sauti ya Baba ikanena,
Huyu ni mwanangu mpendwa wangu, ninayependezwa naye } *2