Chorus
Bwana alipoingia, katika mji mtakatifu
Watoto wa Mayahudi - walimlaki Bwana
Wakichukua matawi - ya mizeituni
Wakisema hosanna, hosanna, hosannanjuu hosanna juu mbinguni *2
Verse 2
Wakatandaza na nguo zao wakimlaki Bwana
Verse 3
Hosanna hosanna juu mbinguni hosanna mbinguni
Verse 4
Mbarikiwa anayekuja kwa jina la Bwana