SectionsExitBwana Aliniambia

Bwana Aliniambia

Ordinary TimeExit
Chorus

{Bwana aliniambia, ndiwe mwanangu,nmimi leo nimekuzaa leo, nimekuzaa leo }* 2

Verse 2

Wafalme wa dunia wanajipanga na wakuu,

Wanafanya shauri pamoja juu ya Masiha wake.

Verse 3

Yeye anayeketi huko mbinguni anacheka,

Naye Bwana anawafanyia dhihaka hao wafalme.

Verse 4

Bwana aliniambia ndiwe mwana wangu,

Mimi nimekuzaa leo, nimekuzaa leo.

Verse 5

Atukuzwe Baba na Mwana na Roho Mtakatifu,

Kama mwanzo, sasa na siku zote milele amina.