SectionsExitBwana Alikua Tegemeo

Bwana Alikua Tegemeo

Ordinary Time,MarianExit
Chorus

Bwana alikuwa tegemeo, langu langu *2

Akanitoa kanipeleka panapo nafasi nafasi

Akaniponya kwa kuwa alipendezwa nami

Verse 2

Bwana alinitendea, sawasawa na haki yangu,

Maana nimezishika njia zake wala sikumwasi Mungu.

Verse 3

Nimeshika maagizoye, sikuacha na amri zake

Mbele za Bwana sikuwa na hatia nikalinda wema wangu,n

Verse 4

Atukuzwe Baba na Mwana, naye Roho Mtakatifu

Kama mwanzo na sasa na siku zote na milele amina