SectionsBible ProcessionBwana Akawaambia

Bwana Akawaambia

Ordinary Time,Ordinary TimeBible Procession
Chorus

Bwana akawaambia tena akaseman(Mimi ndimi njia ukweli na uzima) x2

Mtu haji kwa baba yangu ila kwa njianyangu mimin(Mimi ndimi njia ukweli na uzima) x2

Verse 2

Mtu akinipenda atalishika neno langu,nna baba yangu atampenda.

Verse 3

Kaeni ndani yangu nami nikae ndaninyake, kwa maana mimi ni mzabibu.

Verse 4

Mimi ni njia kweli mimi ni njia ya uzima,najaye kwangu ana uzima.n